Wito huo ambao umetolewa na Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania, Dkt. Gervas Kasiga bado hawajaweka wazi sababu ya kumuita muigizaji huyo.

“Bodi ya Filamu Tanzania inamtaka mwanatasnia Aunty Ezekiel kufika bila kukosa katika ofisi za Bodi ya Filamu zilizopo Kivukoni, Dar Es Salaam siku ya Alhamisi, Tarehe 10 Julai, 2025, saa nane kamili mchana,”imeeleza taarifa hiyo.
Leave a Reply