21
Nedy Music: Nimejipanga kiushindani 2024
Msanii wa Bongo Fleva, Nedy Music amesema wimbo wake aliomshirikisha Barnaba unaoitwa Mapenzi, umemfungulia njia kwa mwaka 2024. Amesema wimbo huo una ujumbe mzito na tangu au...
21
Bushoke: Zuchu namba moja 2023
Mwanamuziki wa bongo fleva, Ruta Bushoke amemtaja  msanii wa kike, Zuhura Othoman 'Zuchu' kwamba alikuwa namba moja kwa kufanya kazi bora mwaka 2023. Bushoke ametoa sabab...
21
Kazi ya neti kwenye ujenzi wa ghorofa
Watu wengi wamekuwa wakiona neti ambazo huwekwa wakati wa ujenzi wa maghorofa, bila ya kufahamu umuhimu wake huku baadhi yao wakidhani huwekwa kama urembo wakati wa ujenzi wa ...
21
Kocha Tuchel avunja mkataba na Bayern Munich
‘Kocha’ wa ‘klabu’ ya #BayernMunich, #ThomasTuchel amefikia makubaliano ya kuvunja mkataba wake, na ‘timu’ hiyo mwezi Juni mwaka huu ambapo...
21
Offset amshauri Cardi B kutoa album
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #Offset amemshawishi mama wa watoto wake #CardB kurudi studio kwa ajili ya kutoa albamu yake ya pili baada ya miaka 6 kupita. Kwa muj...
21
Huu ni muda wa miss world kuleta taji Afrika
Msimu wa 71 wa shindano la kumpata mlimbwende wa dunia (Miss World) ulianza rasmi Februari 18, 2024, na utaendelea kwa siku 21 na kufikia tamati Machi 9 nchini India. Washirik...
21
Wawili wadakwa kwa tuhuma za mauaji kwenye Super Bowl
Wanaume wawili kutoka Marekani wameshitakiwa kwa mauaji baada ya kufyatua risasi na kusababisha vurugu kwenye sherehe za ushindi wa ‘Super Bowl’ mwaka huu huko Kan...
21
Jengo lenye wakazi zaidi ya 20,000
Hili ndiyo jengo ambalo linadaiwa kuwa na zaidi ya wakazi 20,000 lipatikanalo Hangzhou nchini China ambalo lilipewa jina la ‘Regent International’. Jengo hilo lina...
21
Mbappe akubali kujiunga na Real Madrid
Baada ya siku kadhaa nyuma kutangaza kuondoka katika ‘klabu’ ya Paris St-Germain (PSG) mshambuliaji Kylian Mbappe amekubali kujiunga na Real Madrid msimu mpya utak...
21
Apple yawaonya wanaokausha simu kwa kutumia mchele
Baadhi ya watu wamekuwa wakiamini kuwa simu ikiingia katika maji ili ikauke na iwe salama inatakiwa kulala usiku mzima katika mchele lakini kampuni ya simu Apple imetoa taarif...
20
Kocha Pep Guardiola amuomba radhi Phillips
‘Kocha’ wa ‘klabu’ ya #ManchesterCity #PepGuardiola amemuomba radhi mchezaji wa zamani wa ‘klabu’ hiyo #KalvinPhillips kwa kusema kuwa kiun...
20
Mgahawa unaoendeshwa na roboti wafunguliwa
Imeripotiwa kuwa mgahawa wa kwanza duniani unaoendeshwa na roboti umefunguliwa jijini California nchini Marekani ambapo ‘roboti’ hufanya kazi ya kutaarisha baga, k...
20
Beyonce afunguka chanzo nywele zake kukatika
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani #Beyoncé amefunguka kuwa ana changamoto ya kukatika kwa nywele zake ambapo ameweka wazi kuwa anaugonjwa wa ngozi unaofahamika kama &l...
20
Abadili ndege kuwa hoteli ya kifahari
Mfanyabiashara maarufu kutoka nchini Urusi ambaye kwasasa anaishi China, Felix Demin (32) ameripotiwa kubadirisha ndege iliyostaafu kufanya shuguli zake za kusafirisha abiria ...

Latest Post