Shirika la Exit International kutoka nchini Marekani ambalo lipo chini ya Dk. Philip Nitschke, maarufu kama ‘Dr. Death’ limevumbua sanduku maalumu la kujiua liitwa...
Alievunja rekodi kwa kukaa chini ya maji kwa muda mrefu Dk. Joseph Dituri anadaiwa kuwa kukaa kwake chini ya maji kumemsababisha kutozeeka mapema.Uchunguzi uliofanywa wakati a...
Baada ya ‘rapa’ Sexyy Red na mwanamuziki Drake kuonesha ukaribu kwa siku za hivi karibuni mwanadada huyo amewauliza swali mashabiki wake kama ni sawa kumpa jukumu ...
Mwanamitindo kutoka nchini Marekani Hailey Bieber yuko mbioni kuzindua kava za simu ambazo zitaweza kuwasaidia wanawake wanaopenda kupaka lipstick, kuhifadhi kipodozi hicho ny...
Namwona Rich Mavoko kwenye kwato za Juma Nature. Siyo kwamba kabadilika kila kitu, hapana ni yuleyule lakini mapokezi ya ngoma zake siyo kama Rich Mavoko wa WCB. Na kitu kimoj...
Huenda Mungu akawa na wapinzani wengi zaidi, maana kujichubua ni kupinga uumbaji wake, kwamba wameumbwa visivyo! Hii leo siyo wadada tu wanaojichubua. Also men do it, sijui nd...
Baada ya kufanya show katika Birthday dinner party ya mchezaji Memphis Depay, mkali wa Afrobeat, Davido amedai kuwa anadhani amechaguwa taaluma isiyofaa baada ya kuona maisha ...
Muuzaji wa vyakula katika tovuti ya #eBay, #impala6_9 amezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuuza chipsi kwa bei ghali zenye muundo wa logo ya kampuni ya #NIKE. Chi...
Baada ya baadhi ya mashabiki kudadisi kuhusiana na uvaaji wa miwani kwa mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Tiwa Savage, hatimaye mwanamuziki huyo ametoa sababu ya kwanini huvaa...
Kuna msemo usemao mapenzi ya kweli hayajifichi, msemo huu unajidhihirisha kwa mwanamama Diana Maver, (77) ambaye anaendelea kupokea zawadi za maua katika siku ya Valentine kut...
Baada ya kukamilisha kibarua cha kuitumikia ‘timu’ yake ya Taifa ya Ivory Coast, katika michuano ya #Afcon2023 mchezaji wa ‘klabu’ ya Borussian Dortmun...
Licha ya wawili hao kutangaza kuachana Novemba 2023, lakini bado wameendelea kukutana katika baadhi ya matukio muhimu ikiwemo sikukuu ya Krismass, na sasa ‘rapa’ C...
Albamu ya ‘rapa’ Kanye West na Ty Dolla $ign ‘Vultures 1’ inadaiwa kuondolewa kwenye mtandao wa kuskiliza muziki wa Apple Music na iTunes siku tano baa...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya Paris Saint-Germain (PSG) Kylian Mbappe ametangaza kuondoka katika ‘timu’ hiyo ifikapo mwezi Julai baada ya mkataba wake kuisha....