Ufahamu wali unaodaiwa kuongeza nguvu za kiume

Ufahamu wali unaodaiwa kuongeza nguvu za kiume

‘Plov’ ni wali ambao asili yake ni nchini #Uzbekistan, watu nchini humo hupendelea na kukiheshimu chakula hicho kutokana na kudaiwa kuongeza hamu ya kujamiiana hasa kwa wanaume.

Kwa mujibu wa BBC imeeleza kuwa kawaida chakula hicho huliwa siku ya Alhamisi pekee katika nchi hiyo kwa sababu inachukuliwa kuwa ni siku maalumu kwa wanawake kupata ujauzito.

Hivyo chakula hicho chenye mchanganyiko wa mchele, mboga mboga, nyama na viungo, ni maarufu katika nchi zote za ukanda huo, lakini una uhusiano mkubwa na Uzbekistan.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags