12
Mfahamu binadamu mwenye ngozi inayovutika zaidi
Gary Turner ambaye ni raia wa Uingereza anashikilia rekodi ya dunia ya Guinness kuwa binadamu mwenye ngozi inayovutika zaidi duniani. Turner mwenye umri wa miaka 56 aliweka re...
12
Master: Mnaopiga picha msibani mnajiona mko sawa
Mtayarishaji wa muziki nchini #MasterJ ametoa povu kwa baadhi ya watu wenye tabia ya kwenda misibani na kuanza kuchukua video na kupiga picha kwa ajili ya ku-post katika mitan...
12
Mwanariadha Kenya afariki dunia
Mwanariadha wa mbio ndefu kutoka nchini Kenya, Kelvin Kiptum na ‘kocha’ wake raia wa Rwanda, Garvais Hakizimana wamefariki dunia kwa ajali ya gari, jana Jumapili k...
12
Teni amwaga machozi kukosa ushindi AFCON
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, #Teni amwaga machozi baada ya ‘timu’ yake ya taifa #Nigeria kukosa ushindi katika mashindano ya fainali ya AFCON 2023 kwa kufung...
12
Ahmedy: Mlitaka Mayele abaki kwenye timu yenu ili afe masikini
Msemaji wa Klabu ya Simba Ahmed Ally ameingilia kati tabia ya baadhi ya mashabiki kumshambulia kwa maneno aliyekuwa mchezaji wa timu hiyo Fiston Mayele. Hayo yote ni baada ya ...
12
Konde faida zaidi ya hasara
Konde Boy anaonekana ana ‘bato’ na Diamond inamsaidia Konde Boy kuliko Diamondi. Kumbuka DMX na Jah Rule ‘bato’ lao lilimsaidia zaidi Jah Rule na kumtu...
12
Wema, Zari faida kwa Mondi
Pamoja na yote Wema aliondoka kwenye mbavu za Mondi, huku akimuachia msela faida nyingi zaidi, alimpa umaarufu mkubwa. Kama hiyo haitoshi akampa na Kiingereza juu, msela akaan...
11
Dorah atoa povu wanaosema hawezi kuwa na mahusiano
Muigizaji wa #BongoMovie, ambaye alijulikana zaidi kupitia tamthilia ya ‘Jua Kali’  #Dorah ameeleza kuwa anachukizwa na watu wanaosema kuwa hawezi kuwa na Mah...
11
Harmonize asitisha show, Amuomboleza Lowassa
Mwanamuziki wa #BongoFleva, #Harmonize amesitisha show kwaajili ya kuomboleza kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania Edward Ngoyai Lowassa. Kupitia #Instastor yake...
11
Mashabiki wamtaka Alonso Liverpool
Baada ya ‘kocha’ #XabiAlonso kuiwezesha ‘klabu’ ya #BayerLeverkusen kuifunga ‘timu’ ya BayernMunich, mabao 3-0, jana Jumamosi kwenye &lsquo...
11
Valentine Korea Wanawake ndiyo wanawapa Wanaume zawadi
Inawezekana ikawa ni ajabu lakini huo ndiyo utaratibu ulioko nchini Korea Kusini ambapo ikifika Februari 14, siku ya Valentine, wanawake ndio wanawapa wanaume zawadi tofauti n...
11
PSG haitaki kumuachia Mbappe
‘Klabu’ ya #PSG wamempa mkataba wa miaka miwili mshambuliaji wao #KylianMbappe ikiwa ni katika njia ya kumzuia asiondoke kwenye dirisha lijalo kujiunga na ‘k...
10
Avunja rekodi kwa kuwa na pembe nyingi kichwani
Mwanaume mmoja kutoka pwani ya Praia Grande karibu na São Paulo nchini #Brazili, Michel 'Diabao' Praddo (47) maarufu kama ‘Shetani wa Kibinadamu’ amevu...
10
Lava Lava atoa shukrani kwa wasanii nje ya wasafi
Mwanamuziki wa bongo fleva nchini Lava Lava ametoa shukrani kwa baadhi ya wasanii ambao wamemtafuta na kumpongeza baada ya kuachia ngoma zake mbili.Lava Lava kupitia ukurasa w...

Latest Post