08
Afariki dunia akishuhudia afcon
Inadaiwa kuwa mwanasiasa kutoka nchini Nigeria Dkt. Cairo Ojougboh, alifariki dunia siku ya jana Februari 7, wakati akishuhudia mchezo wa nusu fainali ya #AFCON, Nigeria dhidi...
08
Jesse atimkia Korea, Asaini miaka miwili
Mwanasoka kutoka nchini England, aliyewahi kucheza ‘klabu’ ya #ManchesterUnited #JesseLingard ame-saini mkataba wa mika miwili katika ‘klabu’ ya #FCSeo...
08
Wanaotumia Vision Pro wakati wa kuendesha gari watakiwa kuwa makini
Baada ya kusambaa kwa video ikiwaonesha baadhi ya madereva wa #Tesla wakitumia kifaa cha ‘Vision Pro’ wakati wakiendes...
08
Internet yazimwa kwa muda Pakistan
Huduma za Internet nchini Pakistan zimezuiwa kwa muda kuhofia ugaidi wakati wa zoezi la uchaguzi linaloendelea leo nchini humo kufuatiwa na upinzani mkubwa wa vyama viwili vya...
08
Choo kwa ajili ya wapendanao
Kampuni ya utengnenezaji vifaa vya chooni ‘TwoDaLoo Company’ miaka ya 1991 ilivumbua wazo la vyoo viwili ‘double toilet’, kwa ajili ya wapendanao. Wazo...
08
Mashabiki wa Nigeria wafanya utani waimba Water ya Tyla
Baada ya ‘timu’ ya taifa ya Nigeria kuifunga Afrika Kusini na kutinga katika Fainali za #AFCON mashabiki wa ‘Super Eagles’ wameonesha utani wao kwa kui...
08
Nicki Minaji aachia kionjo cha kolabo na Burna Boy
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Nicki Minaj kupitia ukurasa wake wa Instagram ame-share kionjo cha ngoma yake ambayo ameifanya na mkali wa #Afrobeat kutoka Nigeria, ...
08
Usher ataka Kolabo na Nandy
Baada ya kufanya ‘kolabo’ ya ngoma yake inayotrend kupitia mitandao ya kijamii ya ‘Dah’ na Alikiba mwanamuziki Nandy ameweka wazi kuwa msanii kutoka nc...
07
Mfahamu Nyoka anayeigiza kufa, Anapohisi hatari
Kama tunavyojua hakuna jambo kubwa kama kuwa hai, katika kuhakikisha uhai wao unaendelea, nyoka aina ya ‘Eastern hognose snake’ wanaopatikana zaidi Amerika ya Kusi...
07
Ifahamu mitindo ya Afro inayobamba
Aisha Charles Hii ni special kwa ajili yako wewe msomaji wa magazine ya Mwananchi Scoop kama kawaida tumekutana tena katika segment ya Fashion ili kuweza kujua yale ambayo yat...
07
Nigeria, DRC, Ivory Coast nani kuchukua taji la AFCON
Bara la Afrika na dunia nzima linasubiri kuona ‘timu’ mbili zitakazoingia kwenye msururu wa mwisho wa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika #AFCON 2023 huku &lsquo...
07
Ayra Starr: Mama anataka nivae sketi ndefu
Mwanamuziki kutoka nchini #Nigeria Ayra Starr ameweka wazi kuwa mama yake mzazi amemwambia aanze kuvaa nguo ndefu. Kupitia ukurasa wake wa X (zamani twitter) mwanamuziki huyo ...
07
Msichana anayechora kwa kutumia miguu na mikono
Tumezoea kuona wachoraji wakitumia mkono wa kulia ama kushoto kuchora picha lakini kwa mrembo #Rajacenna van Dam, maarufu kama Rajacenna ameendelea kuwavutia wengi kupitia mit...
07
Kago awachimba biti wanaotumia msemo wake, Afunguka bifu lake na mavokali
Naam, tumekutana tena katika jarida letu pendwa la Mwananchi Scoop kwenye segment ya Burudani. Miaka ya hivi karibuni imekuwa kawa...

Latest Post