Rapa Lizzo atangaza kuacha muziki

Rapa Lizzo atangaza kuacha muziki

'Rapa’ kutoka nchini Marekani Lizzo ametangaza kuacha kufanya muziki baada ya kidai kuwa haoni manufaa wala mafanikio aliyoyapata toka aanze kufanya muziki.


Kupitia ukurasa wake wa Instagram Lizzo ametoa sababu ngingine za kuacha kwake muziki ambapo amedai kuwa watu wamekuwa wakicheka muonekano wake na kumuona kituko jambo ambalo hapendezwi nalo ili kuepukana na hilo ameamua kuachana na muziki.


‘Rapa’ Melissa Viviane maarufu kama Lizzo alikuwa akijulikana kupitia ngoma zake kama ‘ Good as Hell’, ‘Boys’, ‘Truth Hurts’, ‘Pink’ na nyinginezo.

.
.
#mwananchiscoop
#burudikanasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post