Beyonce amwaga maua kwa Tyla

Beyonce amwaga maua kwa Tyla

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #Beyonce ameshindwa kujizuia kwa kumpongeza mwanamuziki kutoka Afrika Kusini, #Tyla kwa kutoa Album yake ya kwanza iitwayo “Tyla” iliyotoka March 22 mwaka huu.

Mwanamuziki huyo amemtumia Tyla barua ya pongezi kama muimbaji mpya anayekuja kwa kasi katika game tokea Afrika Kusini, hiyo inaonesha kuwa msanii huyo anaendelea kuaminiwa na wakali wa muziki duniani

Ikumbukwe kuwa Tyla mwaka huu February aliweza kung’ra zaidi kimataifa baada ya kupata Tuzo ya Grammy kupitia wimbo wake maarufu wa ‘Water’.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags