Afanya surgery ya sura afanane na paka

Afanya surgery ya sura afanane na paka

Mwanamke mmoja kutoka nchini Marekani aliyefahamika wa jina la #JocelynWildenstein maarufu kama ‘Cat Woman’ amefanya upasuaji wa sura yake zaidi ya mara 24 ili aweze kufanana na Paka.

Jocelyn aliyeanza kufanya upasuaji huo mwaka 2015 ili kumfurahisha mume wake, #LloydKlein aliyekuwa anapenda sana wanyama jamii ya paka na wengine.

Hata hivyo mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 78 pamoja na jitihada zote hizo alizofanya za kubadilisha sura yake bado mume wake alimsaliti na kwenda kuoa mwanamke mwingine.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags