Liverpool ya muwinda Amorim

Liverpool ya muwinda Amorim

‘Klabu’ ya #Liverpool imeripotiwa kumtaka ‘kocha’ wa ‘klabu’ ya #SportingLisbon, #RubenAmorim ili kuchukua nafasi ya #JurgenKlopp kuifundisha ‘timu’ hiyo.

Chaguo hilo limekuja siku moja baada ya kumkosa ‘kocha’ #XabiAlonso ambaye kwa sasa yupo katika ‘klabu’ ya #Leverkusen iliyopo #Ujerumani.

Amorim bado yuko kwenye mkataba na ‘klabu’ hiyo ya #Ureno hadi mwaka 2026 baada ya kusaini mkataba wa miaka 4 Novemba 2022, hata hivyo katika mkataba wake inadaiwa kuwa kuna kipengele cha kuvunja mkataba kwa kulipa kiasi cha fedha.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post