Davido azindua kozi ya muziki na sanaa Uganda

Davido azindua kozi ya muziki na sanaa Uganda

Mkali wa Afrobeat kutoka nchini Nigeria Davido amezindua ‘Kozi’ mpya ya Muziki na Sanaa katika Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Afrika Mashariki Kampala nchini Uganda.


Licha ya kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kozi hiyo pia alitunukiwa tuzo ya heshima ambayo ni ukumbi maalumu uliopo katika chuo hicho uliopewa jina ‘Davido Hall’ jambo ambalo liliwavutia wadau wengi wa muziki kupitia mitandao ya kijamii.

.
.
#mwananchiscoop
#burudikanasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post