Diddy akifurahia maisha na Dj Stevie J

Diddy akifurahia maisha na Dj Stevie J

Baada ya kuonekana akiwa na mabinti zake mapacha wakati akiwasindikiza kwenye kiwanja cha ‘Gofu’ na sasa mfanyabiashara na mkali wa Hip-Hop Diddy ameonekana tena nyumbani kwa Dj Stevie J.


Kupitia video inayosambaa mitandaoni imemuonesha Diddy akiwa na furaha huku baadhi ya wadau wakitafakari furaha hiyoo.


Unadhani furaha ya Diddy inamaanisha nini?

.
.
#mwananchiscoop
#burudikanasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags