Beyonce akutana na mashabiki 150 Japan

Beyonce akutana na mashabiki 150 Japan

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Beyonce aliandaa tukio maalumu la kusaini autograph ambapo alikutana na mashabiki wake 150 katika duka la ‘Tower Records’ nchini Japan.

Beyonce aliwakabidhi mashabiki hao ‘kava’ ya albumu yake mpya iitwayo ‘Cowboy Carter’ ambayo imeachiwa rasmi siku ya Leo Machi 29 ikiwa na nyimbo 27.

Hii inakuwa albumu ya nane kwa Queen Bey ikiwa ni muendelezo wa albamu ya #Renaissance (Act I) ya mwaka 2022.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post