Zuchu aweka rekodi mpya Boomplay

Zuchu aweka rekodi mpya Boomplay

Baada ya kuifikia rekodi ya Yemi Alade, kwa kufikisha watazamaji milioni 100 kupitia wimbo wake wa ‘Sukari’ kupitia mtandao wa YouTube na sasa mwanamuziki Zuchu anatajwa kuweka rekodi nyingine kupitia mtandao wa Boomplay Music ambapo ameripotiwa kufikisha waskilizaji milioni 300.


Zuchu ametajwa kuwa msanii pekee wa kike Africa Mashariki huku akimpiku msanii mwenzie wa kike nchini Nandy ambaye anawaskilizaji milioni 116.


Hata hivyo Zuchu anaungana na wasanii wengine wakiume ambao wameshafikisha rekodi hiyo akiwemo Diamond, Rayvanny pamoja na Harmonize.


.
.
#mwananchiscoop
#burudikanasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags