Mwanaume mmoja kutoka nchini Nigeria aitwaye John Amanam, amewashangaza wengi kupitia mitandao ya kijamii kutokana na ubunifu wake wa kutengeneza viungo bandia vya ngozi nyeus...
Mkali wa #Afrobeat kutoka nchini Nigeria #Burnaboy anaendelea kuvuka boda kwa kufanya ‘kolabo’ na wasanii mbalimbali katika mataifa makubwa, na sasa ameshirikishwa...
Mtoto wa kwanza kuzaliwa mwaka 2024 nchini Hispania amepewa jina la mchezaji wa ‘klabu’ ya #PSG, #KylianMbappe.
Wazazi wa mtoto huyo wajulikanao kama Fran Barreiro...
Baada ya kuzuka tetesi kuhusiana na mchezaji wa Manchester United, Jadon Sancho kurudi kwenye ‘timu’ yake ya zamani kwa mkopo hatimaye ‘klabu’ hiyo ya ...
Wachezaji na wafanya kazi wa ‘Timu’ ya Taifa #Gambia wakosa hewa walipokuwa kwenye ndege wakielekea Ivory Coast katika mashindano ya AFCON 2023.
Inaelezwa kuwa wac...
Baba wa marehemu mwanamuziki Mohbad kutoka nchini Nigeria kupitia mahojiano yake ya hivi karibuni ameeleza kuwa aliyekuwa mke wa Mohbad, Wunmi na wakili wake wanatishia kumuua...
Kijana wa miaka 13 aitwaye Milan amepata fursa ya mafunzo kwa vijana chini ya miaka 18 katika kampuni ya Louis Vuitton baada ya kusambaa kwa michoro aliyoichora ya ubunifu kwe...
Mke wa mchezaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterCity #KyleWalker, #AnnieKilner ametangaza kutengana na mume baada ya kudumu kwa miaka miwili kwenye ndoa.
Kwa mujibu wa Th...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #ChrisBrown amjia juu shabiki aliyesema kuwa hataki mwanaume aliyezaa na mwanamke zaidi ya mmoja.
Hii inakuja baada ya Brown ku-share picha...
Mwanamke mmoja kutoka nchini Ghana aitwaye Chef Faila anadaiwa kuipiku na kuvunja rekodi ya Alan Fisher kwa kupika masaa 227.
Aidha mwanamke huyo anasubiri uthibitisho kutoka ...
Watu wasiojulikana wanaodaiwa kuwa majambazi wamevamia Television ya serikali nchini Ecuador siku ya jana Jumanne na kuwaweka chini ya ulinzi waandishi wa habari waliokuwa wak...
Muanzilishi wa kampuni ya ‘FutBolJobs’ Valentin Botella Nicolas, kutoka nchini Saudi Arabia amepanga kusajili wachezaji wapya kwa ajili ya ‘ligi’ daraj...
Si jambo la kushangaza kama ukitembelea mataifa mbalimbali na kukuta magari ya kubebea wanafunzi (School Bus) yakawa na rangi ya kufanana, yaani rangi ya njano. Fahamu kuwa ra...