Kutokana na utafiti uliofanywa na Taasisi inayojihusisha na masuala ya fedha Bankrate, iliyopo nchini Marekani imebaini kuwa asilimia 42 ya wanandoa huwaficha wenzi wao mali w...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Davido, alikuwa mmoja wa wasanii ambao walihudhuria katika sherehe ya siku ya kuzaliwa ya mchezaji wa ‘timu’ ya Taifa ya Uholanzi...
Baada ya ‘timu’ ya Taifa ya #Nigeria, maarufu kama #SuperEagles kuibuka mshindi wa pili katika michuano ya AFCON 2023, wametunukiwa medali za heshima na Rais wao B...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani #UsherRaymond ameripotiwa kuwa ndiye msanii wa kwanza kulipwa na NFL ambapo alilipwa dola 671 sawa na tsh 1.7 milioni baada ya kutumbuiza kw...
Baada ya kuweka Grill kwenye meno yake, mashabiki wameona tofauti katika lips za ‘rapa’ Kanye West huku wakihoji nini kimetokea mpaka muonekano wa mdomo wa mwanamu...
#DianaArmstrong ambaye anashikilia rekodi ya dunia ya ‘Guinness World Records’ kwa kuwa mwanamke mwenye kucha ndefu zaidi ameeleza jinsi gani anajisafisha wakati a...
Baada ya mwanamuziki #Usher kukiwasha katika fainali za ‘Super Bowl’ zilizofanyika katika uwanja wa Allegiant, Nevada na sasa imeripotiwa kuwa mwaka 2025 fainali h...
Na Michael Onesha
Niaje niaje watu wangu wa Mwananchiscoop, naona harakati za chuo kama zimetaradadi, kama tunavyojua kipindi hichi ni kipindi ambacho baadhi ya vyuo vinafanya...
Na Aisha Lungato
Katika kila sehemu ambayo inamzunguko wa watu wengi lazima kutakuwa na tabia zinazofaa na zisizofaa, na kama tunavyojua sehemu kama kazini, chuo, shule. Kunak...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #Usher ameka rekodi kupita Show yake alio ifanya siku ya Jumapili katika Fainali za Super Bowl LVIII ndio show iliyotazamwa zaidi Kwenye hi...
Na Aisha Charles
Mambo vipi watu wangu wa nguvu kwa mara nyingine tunakutana tena katika Fashion kupashana habari za urembo na style mbalimbali zinazokiki mjini katika fashion...
Na Aisha Charles
Miaka sita iliyopita alivuma sana na kibao cha ‘Umebalika’ alichofanya na Nandy ambacho kilikuwa na ujumbe mkubwa katika jamii na ndiyo wimbo ulio...
Na Aisha Lungato
Mamboz! Siyo kila siku tufundishane kupika jamani lazima kubadilika na kuelekezana mambo tofauti ambayo pia yanaweza kukuza biashara yako, leo niko na ...