West Ham yapata mrithi wa Moyes

West Ham yapata mrithi wa Moyes

Meneja wa zamani wa klabu ya #RealMadrid, Julen Lopetegui amefikia makubaliano na timu ya West Ham United kwa ajili ya kuchukua mikoba ya David Moyes kama kocha mkuu klabuni hapo kuanzia msimu ujao.

Hayo yamekuja baada Moyes kutarajia kuondoka katika klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu kufuatia mwenendo usioridhisha wa klabu hiyo kwa kupoteza mechi 13 ikiwemo kipigo cha 5-0 dhidi ya Chelsea jana.

David Moyes mwenye umri wa miaka alingia West Ham tokea mwaka 2019 akitokea klabu ya #Sunderland.

Ingawa kunatetesi kuwa kocha wa klabu ya Sporting Lisbon y, Ruben Amorim alikuwa akihusishwa na kuchukua mikoba ya Moyes lakini Lopetegui mwenye umri wa miaka 57 raia wa Uhispania amekuwa bora zaidi katika timu hiyo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags