Simba inaongoza kwa wafuasi wengi mitandaoni

Simba inaongoza kwa wafuasi wengi mitandaoni

Klabu ya Simba ndiyo yenye wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii kwa upande wa Afrika Mashariki.

Timu hiyo inakaribia wafuasi milioni 11, kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii kama Facebook, Twitter, Instagram, YouTube, na TikTok.

Kwa mujibu wa utafiti wa TRT Afrika, Simba imejizolea wafuasi wengi mtandaoni na kuwa kati ya timu tano bora Afrika zenye idadi kubwa ya wafuasi kwenye mtandao.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags