Usher awakosha mashabiki kupiga show kwenye baridi kali

Usher awakosha mashabiki kupiga show kwenye baridi kali

Mwanamuziki maarufu kutoka nchini Marekani, Usher Raymond amewafurahisha mashabiki wake kwa kuendelea na show licha ya hali mbaya ya hewa ya baridi kali iliyotokea akiwa katika onesho la ‘Lovers and Friend’ Ijumaa Mei 3, 2024.

Kwa mujibu wa tovuti ya TMZ News imeeleza kuwa Usher aliendelea kutumbuiza na kuwafanya mashabiki wahisi hakuna hali mbaya ya hali ya hewa hata hivyo,  onesho hilo kusimama katika dakika za mwisho.

Baadhi ya mashabiki walidhani angeweza kughairi baada ya tamasha hilo lililojizolea umaarufu, badala yake, Usher alijitokeza na kuendelea kuwapa burudani mashabiki.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags