05
Fainali kombe la dunia 2026, Kufanyikia New Jersey
Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limetangaza kuwa fainali ya Kombe la Dunia la 2026 itafanyika kwenye Uwanja wa #MetLife  unaochukua mashabiki 82,500 katika mji wa East ...
05
Utafiti: Nusu ya vijana wenye miaka 18 hadi 29 wanaishi kwa wazazi
Kutokana na utafiti uliofanywa mwaka jana  na kituo cha Pew Research, umegundua kuwa karibia nusu ya vijana wote nchini Marekani walio na umri kati ya miaka 18 hadi 29 ba...
05
Drake hatoimba tena wimbo aliofanya na Rihanna
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani, #Drake akiwa katika onesho lake la ‘Its All a Blur- Big as the What’ siku ya Jumamosi nchini humo aliwaeleza mashabiki w...
05
Jay-Z awapa makavu Grammy, Kisa Beyonce
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Jay-Z amewapa makavu #Grammy kwa kutowahi kumpa #Beyonce tuzo kubwa ya album ‘Of The Year’ licha ya kuwa msanii anayeongoza kuwa...
05
Wanigeria wapigwa na kitu kizito Grammy 2024, Tyla apeta
Peter Akaro Dar es Salaam: Kama kuna kitu wasanii wa Nigeria walikuwa na uhakika nacho katika tuzo za 66 za Grammy 2024, ni kuondoka na ushindi mnono kutokana na kuchaguliwa k...
04
Mastaa Chelsea wajiondoa kwenye mtandao wa X
Wachezaji wa ‘klabu’ ya #Chelsea,  #MoisesCaicedo na #EnzoFernandez wamefuta akaunti zao za  X (Twitter) baada ya kupokea jumbe nyingi zilizokuwa na kaul...
04
Viatu vya ubingwa wa Jordan viliuzwa billioni 20
Aliyekuwa mchezaji wa mpira wa kikapu NBA kutoka nchini Marekani #MichaeJordani ameweka rekodi ya kukusanya viatu vyake alivyo wahi kuvi vaa katika fainali ya sita za ‘T...
04
Ali Kiba: Ukitaka kolabo na mimi jitafute kwanza
Mwanamuziki wa #BongoFleva #AliKiba amesema kuwa wasanii wanaotaka kufanya kolabo naye wajitafute kwanza hata kama mwanamuziki ambaye yupo chini ya lebo yake. Akizungumza mbel...
04
Kitambaa cha Jimi chapigwa mnada
Kitamba cha aliyekuwa mwanamuziki wa Pop nchini Marekani #JimiHendrix ambacho alitumia kukivaa kichwani katika maonesho mbalimbali miaka ya 1960 chapigwa mnada wa tsh 100 mili...
04
Baada ya miaka miwili Bieber aonekana jukwaani
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani #JustinBieber amefanya onesho lake la kwanza baada ya miaka miwili kuwa kimya bila kuoneka kwenye majukwaa. Justin alipanda kujwaani usikuwa...
04
Kocha wa mali aililia nusu finali AFCON
‘Kocha’ wa ‘timu’ ya Taifa  #Mali, #EricChelle, amwagiwa maji ili kupooza kichwa huku akilia baada ‘timu’ yao kutolewa  katika ma...
03
Sadio Mane akiwa na mkewe Aisha Tamba
Baada ya ‘timu’ yake ya Taifa ya #Senegal kuondolewa katika michuano ya #Afcon mchezaji kutoka ‘klabu’ ya #Alnassr Sadio Mane amerudi na sasa yupo mapu...
03
Akataa kupooza, akimbia kilometa 10
Baada ya kupooza na kuambiwa hatoweza kutembea tena na madaktari mwanaridha Tim Marovt, aliwashangaza wengi baada ya kurudi tena kukimbia kwenye marathoni kwa kilometa 10 huku...
03
Party iliyokuwa ikiwakutanisha ma-staa yahairishwa
Party iliyokuwa ikifanyika siku moja kabla ya Tuzo za #Grammy ambayo ilikuwa ikiongozwa na #Jay-Z na Roc Nation kwa lengo la kuwakutanisha ma-staa mbalimbali haitofanyika mwak...

Latest Post