Will Smith: Napenda kuwa maarufu

Will Smith: Napenda kuwa maarufu

Mwigizaji maarufu kutoka nchini Marekani Will Smith ameweka wazi kuwa anapenda sana kuwa maarufu kwani unamfanya ajiskie kuwa salama zaidi.

Will ameyasema hayo siku ya Jana Jumanne akiwa kwenye mahojiano yake na #VSGEntertiment ambapo amedai kuwa kupenda kwake umaarufu kunamfanya kuwa salama zaidi na kupata msaada kwa haraka kokote atakapo kwenda kutokana na umaarufu wake.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags