47% ya wazazi wanahudumia watoto wao waliofika umri wa utu uzima

47% ya wazazi wanahudumia watoto wao waliofika umri wa utu uzima

Kwa mujibu wa ripoti ya utafiti iliyotolewa na New Savings Survey, inaonesha kuwa 47% ya wazazi nchini Marekani, wanaendelea kutoa msaada wa kifedha kwa watoto wao, ambao wamefiaka umri wa utu uzima, kwenye gharama mbalimbali kama vile chakula, matumizi ya simu za mkononi, na bima.

Utafiti huo unaeleza kuwa hiyo ni kutokana na watu hao kukabiliwa na changamoto mbalimbali kama vile mishahara midogo, madeni ya mikopo ya wanafunzi, na kuongezeka kwa gharama za maisha, jambo linalowafanya wazazi kuingilia kati mahitaji ya watoto wao.

Mara ya mwisho kupewa pesa na wazazi wako ilikuwa lini?
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags