Mainoo aonesha makali yake timu ya Taifa

Mainoo aonesha makali yake timu ya Taifa

Mchezaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, #KobbieMainoo amebuka kuwa nyota wa mchezo siku ya jana katika ‘timu’ yake ya Taifa #England baada ya kucheza dakika 74 akionesha ubora wake kwa mara ya kwanza katika ‘timu’ hiyo.

Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 18 pamoja na kutofunga bao aliweza kuibuka ‘Man of the match’ kwenye kikosi hicho kilichokuwa na nyota kadhaa kama vile Jude Bellingham, Declan Rice na Phil Foden.

Hata hivyo ‘mechi’ hiyo kati ya England dhidi ya Ubelgiji ilitamatika kwa sare ya mabao 2-2.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags