25
NASA imenasa mti wa Chrismas angani
NASA imenasa picha ya Miti ya Chrismas inayojulikana kitaalamu kama NGC 2264, iliyoko takribani miaka 2,500 kutoka Duniani. Muonekano wa miti hiyo inatokana na nyota ndogo na ...
25
Beraldo mambo ni moto PSG
Tetesi zinaeleza kuwa ‘klabu’ ya Paris Saint -Germain (PSG) inampango wa kumpa mkataba na kumfanyia vipimo vya Afya mchezaji wa ‘klabu’ ya #SaoPauloFC,...
24
Mfahamu mwanaume aliyeuza jengo la bunge
 Nchini India ukiwa mwizi sana unaitwa ‘Natwarlal’, kwa sababu ni jina la mwanaume mmoja kati ya wezi wakubwa kuwahi kutokea kwenye nchi hiyo. Kwa mujibu wa t...
24
Kanye West amaliza mwaka na instagram
Mwanamuziki kutoka nchi Marekani, #KanyeWest kwa mara ya kwanza tangu  mwaka  2023 uanze leo ameweka post katika mtandao wake wa Instagram, upande wa insta story. Ms...
24
Tsimikas bado sana nje ya uwanja
Meneja wa ‘klabu’ ya #Liverpool, #JurgenKlopp amethibitisha kuwa beki wao #KostasTsimikas atakuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu baada ya kugongwa kwenye bega na win...
24
Baba wa marehemu Amy awashitaki marafiki wa mwanaye
Baba wa aliyekuwa mwanamuziki marehemu #AmyWinehouse amewafungulia mashitaka marafiki wawili wa mtoto wake kwa  kuuza mali za mwanaye kwa kutumia majina yao mwaka 2021. &...
24
Man Fongo afunguka sababu ya ukimya wake
Msanii wa #Singeli #ManFongo aeleza kilichofanya  akae kimya kwa muda mrefu huku akidai ni kufichwa na management yake mpya kwa ajili ya kujipanga kwa ujio mpya katika mu...
24
Mavokali matatani kwa kutumia msemo Bado hujasema
Mchekeshaji  #Kago atishia kumshtaki msanii wa #BongoFleva #Mavokali, kwa kutumia msemo wake wa ‘Bado Hamjasema’ katika wimbo wake mpya  ‘HAMJASEMA...
24
Aswekwa rumande akijaribu kumuua mbwa
Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Anthony Bellman  mwenye umri wa miaka 55 kutoka nchini Marekani ameswekwa rumande kwa kujaribu kumuua mbwa Inaelezwa kuwa polisi walimf...
23
Jaymelody alia maisha magumu
Mwanamuziki wa bongo fleva Jaymelody licha ya kupata pesa lakini ameweka wazi kuwa kwa upande wake maisha ni magumu na mabaya.Kupitia live yake ya siku ya jana kwenye ukurasa ...
23
Ronaldinho Kuuwasha moto Rwanda
Nguli wa soka kutoka Brazil Ronaldinho Gaúcho anatarajiwa kuuwasha moto na washiriki wengine 150 katika michuano ya Veteran Clubs World Championship.Ronaldinho ame-shar...
23
Hawa ndio wasanii walionyakuwa tuzo nyingi 2023
HAWA NDIYO WASANII WALIONYAKUA TUZO NYINGI MWAKA 2023Mwaka 2023, wapo baadhi ya wasanii ambao wanatamani mwaka huu uishe ili wajaribu tena mwakani lakini wapo waliobahatika ku...
23
Mabilionea walioongeza utajiri wao mwaka 2023
Ikiwa mwaka 2023 unaeleke kuisha umekuwa wa neema kwa baadhi ya mabilionea ulimwenguni, ambapo utajiri wao umeongezeka kwa kiasi kikubwa.Wengi wao ni wale wanaojihusisha na ma...
23
Wanaolala zaidi weekend hujiepusha na ugonjwa wa moyo
Utafiti wa hivi majuzi uliochapishwa katika jarida la Afya unaeleza kuwa kulala zaidi siku za weekend kunaweza kuboresha afya ya moyo na mishipa, hasa kwa wale wanaolala chini...

Latest Post