Tems, Travis kwenye album ya Tyla

Tems, Travis kwenye album ya Tyla

Mwanamuziki kutoka South Africa, Tyla tayari ameachia listi ya nyimbo ambazo zipo kwenye albumu yake ambapo mwanamuziki Tems pamoja na Travis Scott wakiwa ni miongoni mwa wasanii waliosgirikishwa katika album hiyo.

‘Tyla’ likiwa ndiyo jina la album inatarajiwa kuachiwa rasmi Ijumaa hii Machi 22, ikiwa na nyimbo 14, huku ‘rapa’ Travis akishirikishwa katika remix ya ngoma ya ‘Water’ ambayo ndiyo ilimleta mjini msanii huyo.

Wasanii wengine ambao wameshirikishwa katika album hiyo ni Kelvin Momo, Gunna, Skillibeng pamoja na Becky G.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags