Beki wa ‘klabu’ #ManchesterCity, #RubenDias baada ya kuchana na mpenzi wake #ArabellaChi adaiwa kuwa kwenye mahusiano na muigizaji nyota kutoka nchini Ureno #Daiel...
Hatimaye bondia wa Tanzania, #HassanMwakinyo amefanikiwa kushinda mkanda wa ‘WBO’ Africa Middle Weight baada ya kumuangushia kipigo cha ‘KO’ ya raundi ...
Nyota wa muziki kutoka nchini Marekani #NickMinaj na Megan Thee Stallion wameingia kwenye bifu zito baada ya Nicki kufanya mzaha kuhusu mama yake Megani aliyefariki miaka sita...
Mkulima mmoja kutoka nchini Argentina, Pedro Martin aliamua kumuenzi marehemu mkewe aliyefahamika kwa jina la Graciela kwa kutengeneza umbo la Gitaa kwa kutumia miti ili mkewe...
‘Rapa’ wa Kimarekani 21 Savage, amefunguka na kuweka wazi kuwa familia za kimaskini ni bora kuliko familia za watu wenye uwezo.Savage ameyasema hayo wakati wa maho...
Usiku wa kuamkila leo msanii wa singeli Dulla Makabila alikuwa na show Yombo ambapo alimpandisha ‘stejini’ aliyekuwa mke wa Haji Manara, Rushaynah jambo ambalo lil...
Kama tunavyojua kila Binadamu huishi na kufanya ayapendayo, hivyo hivyo kwa Hikmet Kaya, aliyekuwa msimamizi wa Misitu ya Kituruki aliamua kubadilisha jangwa na kuwa msitu amb...
Baada ya wadau wa muziki kuchukizwa na kitendo cha msanii kutoka nchini Nigeria Ayra Starr kumpita Meneja na mama mzazi wa Burna Boy, Bi Bose Ogulu bila kumsalimia wakati wa s...
Ikiwa imepita siku moja tuu tangu mbunifu wa mavazi Beatrice Mwalingo, kujibuwa ‘komenti’ na Rais Samia Suluhu Hassan, sasa ni zamu ya Mtangazaji Salama Jabir, amb...
Serikali Korea Kusini imeonya na kuzuia matumizi ya vifaa vya kutolea mabaki ya chakula kwenye meno ‘toothpicks’ kutokana na baadhi ya watu kuvikaanga na kuvila.Se...