Bondia Ryan adai anamjua aliyemuua Tupac

Bondia Ryan adai anamjua aliyemuua Tupac

Bondia kutoka nchini Marekani itwaye Ryan Garcia amedai kuwa anamjua mtu aliyehusika katika mauaji ya kifo cha ‘rapa’ Tupac.

Kupitia ukurasa wake wa X ali-share ujumbe ambao ulizua mjadara kwa wadau mbalimbali, ambapo ujumbe huo ulikuwa ukieleza kuwa anamfahamu nani aliyemuua Tupac lakini watu wengi wanaweza kujibu hamjui huku akiweka wazi kuwa anaweza kuthibitisha hilo.

Ikumbukwe kuwa Tupac alifariki Septemba 13, mwaka 1996 akiwa na umri wa miaka 25 baada ya kupigwa risasi.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags