Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA), imetangaza kuanza operesheni maalumu katika kumbi za starehe na ma-hoteli zenye Shisha ili kubaini wanaocha...
Unaweza kusema ni asubuhi ya kheri kwa Beatrice Mwalingo (28) fundi nguo ambaye amepewa ahadi ya kununuliwa cherehani na Rais Samia Suluhu Hassan.Hiyo ni baada ya dada huyo am...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Tems ameendelea kuonesha makali yake katika kusukuma muziki kwenye mataifa mbalimbali, sasa ametangazwa mshindi kwenye Tuzo za Billboard Woma...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani 50 Cent amewatolea povu mashabiki ambapo wamekuwa wakimnanga kwenye baadhi ya picha anazo-post kufuatiwa na kupungua kwake uzito kwa ...
Baada ya kudai kuwa ndao yake na mpenzi wake Zaiylissa, itakuwa ya siri hatimaye Haji Manara amefunga ndoa na muigizaji huyo siku ya leo Jumatato, Januari 24, 2024.Kupitia uku...
Aliyekuwa msemaji wa #Yanga, Haji Manara amekanusha tetesi za mitandaoni kuhusiana na yeye kumpeleka msanii wa Singeli Dulla Makabila polisi.
Akizungumza na Manaratv, Haji ame...
‘Rapa’ #LilWayne kufuatiwa na mahojiano yake aliyoyafanya na Podcast ya The Richard Sherman, ameweka wazi sababu zinazomfanya msanii mwenzake Drake kuchukiwa na wa...
Wachezaji wa ‘timu’ ya Taifa ya #TaifaStars na ‘benchi’ la ufundi wameahidiwa tsh 1.3 bilioni endapo itafuzu hatua 16 bora ya fainali za michuano ya Ko...
Chama cha mpira wa miguu nchini #Ghana kimemfukuza ‘kocha’ mkuu wa ‘timu’ ya Taifa #BlackStars, #ChrisHughton, baada ya kutolewa kwenye mashindano ya #...
Baada ya kuzuka tetesi kuhusina na mwanamuziki wa Singeli nchini Dulla Makabila kufunguliwa mashitaka na aliyekuwa msemaji wa ‘klabu’ ya Yanga Haji Manara na mchum...
Aliyeteuliwa kuwa muhamasishaji wa #TaifaStars katika mashindano ya #AFCON, #BongoZozo amewatolea povu Watanzania wanoshindwa kuungana na ‘timu’ ya Taifa Stars kat...
Mwanamuziki Chris Brown amewajia juu mashabiki ambao wamekuwa wakihoji kupitia mitandao ya kijamii baada ya kumuona akiwa amekaa pamoja na #Quavo katika onesho la ‘Fashi...
Ikiwa yamebaki masaa machache kuelekea mchezo wa mwisho wa kundi F kupitia michuano ya #Afcon unaotarajiwa kuchezwa kesho kati ya Congo dhidi ya Tanzania wanamuziki Diamond na...
Kampuni ya Cluvens imetoa kiti cha ‘teknolojia’ chenye muundo wa Nge kiitwacho ‘Scorpion Computer Cockpit’ kwa dhumuni la kuwarahisishia watumiaji wa k...