Pochi nyepesi zaidi duniani yazinduliwa

Pochi nyepesi zaidi duniani yazinduliwa

Chapa maarufu kutoka Paris ‘Fashion house Coperni’ imeripotiwa kutengeneza pochi nyepesi zaidi duniani ambayo inauzito wa gramu 33, iliyooneshwa kwa mara ya kwanza kwenye wiki ya Mitindo ya paris Fall Wunter 2024.

Imeripotiwa kuwa Chapa ya #Coperni imeshirikiana na #NASA kutengeneza pochi hiyo ambayo imetengenezwa kwa kutumia hewa iliyopatikana kwenye vumbi la anga.

Kwa mujibu wa mwanasayansi #Michaloudis.Ioanni ameeleza kuwa pochi hiyo imeundwa na asilimia 99 ya hewa pamoja na kioo asilimia 1.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags