07
Binti wa Michael Jackson avishwa pete
Mwanamitindo na mwigizaji kutoka Marekani Paris Jackson ambaye pia ni mtoto wa marehemu Michael Jackson ametangaza kuvishwa pete na mchumba wake wa muda mrefu Justin Long.Mape...
31
Filamu ya Usher kuanza kuoneshwa Septemba 12
Mkali wa R&B kutoka Marekani Usher Raymond ametangaza kuachia filamu ya matamasha yake nane aliyoyafanya jijini Paris,Ufaransa mwaka jana.Usher ameyasema hayo katika taari...
11
Celine Dion kutumbuiza olimpiki Paris 2024
Mwanamuziki mkongwe kutoka nchini Canada, Celine Dion ameripotiwa kutumbuiza  katika sherehe za ufunguzi wa michezo ya Olimpiki ya Paris 2024 licha ya kuwa na ugonjwa wa ...
19
Burna Boy ana jambo lake hivi karibuni
Mkali wa afrobeat kutoka Nigeria, Burna Boy amedai kuwa ngoma yake ijayo ndio itakuwa ngoma bora kushinda ngoma zote zilizotoka mwaka huu. Mwanamuziki huyo ameyasema hayo kwen...
24
Osimhen Aitamani Chelsea
‘Straika’ wa Napoli na Nigeria Victor Osimhen, 25, amepanga kukataa ‘ofa’ za Paris St-Germain na Saudi Arabia ili ajiunge na Chelsea katika dirisha lij...
17
Mbappe alikubali sanamu lake asilimia 100
Nyota wa ‘timu’ ya Taifa ya Ufaransa ambaye anajiandaa kuondoka katika ‘klabu’ ya Paris Saint-Germain (PSG) Kylian Mbappe amelikubali sanamu lake lilil...
11
Mbappe athibitisha kuondoka PSG
Mchezaji wa ‘klabu’ ya Paris Saint-Germain (PSG), Kylian Mbappé, amethibitisha hadharani kwamba ataondoka katika ‘klabu’ hiyo ya ‘soka&rsq...
21
Polisi China kushughulika na wanaopaki magari vibaya
Polisi nchini #China wamezindua kifaa aina ya roboti ambacho kinauwezo wa kuhamisha magari yaliyoegeshwa vibaya.Kifaa hicho ambacho kilipewa jina la ‘#Valet’ kinau...
15
Mbappe amshitaki muuza kababu
Mchezaji wa Paris Saint-Germain, Kylian Mbappe ameripotiwa kumshtaki mmiliki wa duka linalouza kababu huko Ufaransa baada ya kutumia jina lake kwenye kutangaza biashara yake h...
08
Pochi nyepesi zaidi duniani yazinduliwa
Chapa maarufu kutoka Paris ‘Fashion house Coperni’ imeripotiwa kutengeneza pochi nyepesi zaidi duniani ambayo inauzito wa gramu 33, iliyooneshwa kwa mara ya kwanza...
06
Rayvanny atoa shukrani kwa mastaa Paris
Akiwa anaendelea na ziara yake kwa ajili ya kufanya kazi na wasanii mbalimbali, mwanamuziki wa Bongo Fleva, Rayvanny ametoa shukurani zake za dhati kwa wasanii kutoka katika m...
01
Kanye awataka mapaparazi wampumzishe
‘Rapa’’ Kanye West amewataka waandishi wa udaku (mapaparazi) wampumzishe maana anashindwa ku-enjoy na kula bata jijini Paris kutokana na kumuandama kwa kumfu...
16
Mbappe atangaza kuondoka psg
Mchezaji wa ‘klabu’ ya Paris Saint-Germain (PSG) Kylian Mbappe ametangaza kuondoka katika ‘timu’ hiyo ifikapo mwezi Julai baada ya mkataba wake kuisha....
21
Mashabiki wakosoa sanamu la The Rock
Ikiwa ni kawaida kutoka katika jumba la makumbusho la Grevin Paris nchini Ufaransa kuweka sanamu za watu maarufu mbali mbali, kwa mwaka huu imekua tofauti baada ya mashabiki k...

Latest Post