Mwezi Februari 2024 wadaiwa kuweka rekodi mpya ya kuwa mwezi wenye joto zaidi duniani.
Hata hivyo takwimu za hivi majuzi zilizotolewa na Copernicus, shirika la Umoja wa Ulaya ambalo linajishughulisha na kufuatilia mabadiliko ya hali ya hewa, zinaonesha kuwa mwezi uliopita pia ulikuwa mwezi wa joto zaidi kuwahi kurekodiwa duniani kote.
Kufuatiwa na takwimu hizo zimeweka wazi kuwa joto limeweka rekodi kwa miezi tisa sasa mfululizo bila ya kushuka.
Leave a Reply