Bondia Ngannou awaomba radhi mashabiki

Bondia Ngannou awaomba radhi mashabiki

Baada ya kupokea kichapo cha ‘Knock Out’ (K.O) bondia Francia Ngannou amewaomba radhi mashabiki zake kufuatiwa na kichapo alichopewa na Anthony Joshua, pambano lililofanyika usiku wa kuamkia leo Saudi Arabia.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Francia Ngannou ameomba radhi mashabiki zake kwa kuwaangusha kwani walikuwa na matumaini makubwa kwake, lakini jana ilikuwa siku mbaya kazini kwake ila anaamini kesho itakuwa nzuri.

Licha ya kupokea kichapo raundi ya pili lakini bondia huyo ameondoka na kitita cha Dola milioni 20 huku mshindi Joshua akiondoka na Dola Mil






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags