Mhandisi wa Program za #Google anayefahamika kwa jina la Liren Chen anatuhumiwa kumpiga mkewe hadi kumuua nyumbani kwake nchini Marekani.
Kwa mujibu wa New York Post Mhandisi ...
Umewahi kujiuliza kwa nini kuna watu wanaonekana wana thamani kubwa dhidi ya wengine, wanaweza wakawa wanafanya kazi pamoja, elimu sawa na wala hawajazidiana kiuchumi, lakini ...
Na Aisha Lungato
Niaje niaje! wasomi, niliwakumbuka sana sasa leo nimerudi tena ndugu yenu nisiye na hiyana kuja kuwapa nondo ambayo itaweza kuwasaidia huko mbeleni mnakoeleke...
Na Aisha Lungato
Kauli mbiu inasema ‘Kazi iendelee’ hakuna kuchoka, leo sasa kwenye segment yako pendwa kabisa ya Kazi tutajuzani ni kwa vipi unaweza kukabi...
Mchezaji wa ‘timu’ ya #Livepool na ’timu’ ya taifa #Misri #Mosalah amerudi kambi ya Liverpool baada ya kupata majeraha ya misuli ya paja kwenye mchezo ...
Mwanamuziki kutoka nchini #Nigeria, #BurnaBoy anatarajia kutumbuiza kwenye sherehe ya ugawaji Tuzo za #Grammy2024 zitakazofanyika Februari 4 katika ukumbi wa #Crypto nchini Ma...
Baada ya kuanza vibaya ‘mechi’ ya kwanza ya kundi F ya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) kwa kufungwa mabao 3-0 na Morocco, ‘timu’ ya taifa...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #SnoopDogg amedai kuwa alikataa ofa ya tsh 250 bilioni ambapo alitakiwa kuonesha sehemu zake za siri hadharani kwenye mtandao wa Only...
Binti mwenye umri wa miaka 16, Shania Muhammad, kutoka Oklahoma City amevunja rekodi ya kuwa mwalimu mdogo zaidi wa kulipwa nchini Marekani, akifundisha darasa la tatuShania a...
Zikiwa zimepita siku mbili tangu aliyekuwa mke wa Mwanamuziki wa singeli nchini Dulla Makabila, Zaylissa kuvishwa pete Januari 18 na aliyekuwa msemaji wa klabu ya Yanga Haji M...
Duniani kumekuwa na aina nyingi za magari, na kila mtu huwa na chaguo lake, japo yapo yale ambayo yakionekekana barabarani watu hujiuliza litakuwa linamilikiwa na nani kutokan...
Mkali wa Afrobeat Burna Boy ametua na meneja wake ambaye ni mama yake mzazi nchini Ivory Coast kwa ajili ya kushuhudia mchezo wa mwisho wa kundi A utakaochezwa Januari 22 kati...
Alex Burkan ambaye ni mhandisi na YouTuber kutoka Russia, ametengeneza 'suti' halisi ya kishujaa yenye muundo wa ile iliyoonekana kwenye filamu ya iron man. Suti hiyo inajumui...