Mwanamke huyo ameeleza kuwa amefanya hivyo kufuatiwa na mapenzi aliyonayo kwa ‘timu’ ya Arsenal pia kama heshima kwa mashabiki wa Arsenal huko Turkana.

Watoto walitambulishwa kwa majina Gabriel Martinelli, Gabriel Jesus na Gabriel Magalhaes, hata hivyo mashabiki kutoka akaunti ya Turkana walipeleka zawadi zao kwa mama huyo kwa ajili ya kumuunga mkono.
Leave a Reply