Wanamuziki wenyewe wanaendeshwa na umbea. Hawaumizi tena vichwa vyao, wanachofanya ni kupita kwenye maeneo yale yale ya umbea. Matokeo yake Hamisa anatajwa hata mara tatu kati...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Ruger anadaiwa kuachana na ‘lebo’ iliyokuwa akifanya nayo kazi ya ‘Jonzing World’.Hii inakuja baada ya msanii huyu ku...
Jux hana muziki wa kutisha na kumekuwa na maneno mitaani kuwa anaimba ila siyo kwa kiwango cha juu. Ndiyo hata yeye naamini anafahamu kuwa Mungu hakumbariki uwezo wa Q Chilla ...
Nyota wa muziki nchini Diamondplatnumz wakati akizungumza kwenye sherehe ya aliyekuwa msemaji wa klabu ya Yanga, Haji Manara ya kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa , na kumvish...
Msanii wa Pop kutoka Marekani, Madonna amefunguliwa mashitaka na mashabiki wake kutoka #NewYork baada ya kuchelewa kupanda jukwaani katika tamasha lililofanyika Disemba mwaka ...
Mfanyabiashara kutoka nchini Marekani Kim Kardashian ameonesha sehemu mbalimbali za ofisi yake, ambapo moja ya kitu anachokithamani ni mdoli (mannequin) aliyetengenezwa kwa vi...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Rick Ross ameweka wazi kuwa anampango wa kujenga nyumba chini ya Ardhi ambayo itakuwa na chumba cha kulala, gereji na mashine inayote...
Kampuni ya simu Apple ambayo pia inatengeneza saa imezuiliwa kuuza ‘Apple Watch’ ambazo zimetengenezwa kwa mfumo unaopima kiasi cha Oxygen kwenye damu nchini Marek...
Aliyekuwa msemaji wa klabu ya Yanga Haji Manara, amvisha pete ya uchumba mpenzi wake Zaylissa siku ya jana Januari 18.Sherehe hiyo ya kuvishana pete ilienda sambamba na kusher...
Muigizaji wa filamu kutoka Marekani Arnold Schwarzenegger, ameruhusiwa kupiga mnada saa yake ya gharama nchini Austria, baada ya kutolewa kizuizini katika uwanja wa ndege wa M...
Kwa mara ya kwanza Kampuni ya Apple inayojihusisha na utengenezaji wa vifaa vya mawasilia imeshika nafasi ya kwanza kuwa mtengenezaji mkubwa wa simu za mkononi duniani kwa mwa...
‘Klabu’ ya #AjaxAmsterdam ya nchini #Uholanzi imefikia makubaliano ya kumsajili nahodha wa zamani wa ‘klabu’ ya #Liverpool, #JordanHenderson kwa mkatab...
Baada ya ku-share taarifa kupitia Instastory yake kuhusu kuwa single mwanamuziki Diamond, ametengua kauli hiyo kwa kueleza kuwa hayupo single bado anaendelea kula raha hubani....