Mbosso: Nikirudi Tanzania naoa

Mbosso: Nikirudi Tanzania naoa

Mwanamuziki wa #Bongofleva nchini ameweka wazi kuwa akirudi Tanzania anaoa kutokana na umri kumtupa mkono.

Mbosso kupitia moja ya video zake amesikika akisema kuwa anaona utuuzima unaanze kumyemelea, hivyo anatakiwa kuoa haraka sana, huku akiweka wazi kuwa hadi mama yake anamsisitiza sana suala hilo la kuoa, ambapo amedai kuwa akirudi Tanzania anaoa.

Mwanamuziki huyo kwasasa yupo nchini Canada kwa ajiri ya show inayotarajia kufanyika usiku wa leo katika ukumbi wa ‘National event Venue’.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags