Rapa tokea jiji la Atlanta nchini Marekani, Young Scooter anaripotiwa kufariki dunia kutokana na majeraha yaliyosababishwa na kupigwa risasi wakati wa mzozo kwenye moja ya nyu...
Ni wazi kuwa mkombozi wa wasanii wengi ambao hawapati usikivu kwa kiasi kikubwa, kwa sasa ni shoo za 'chaka to chaka' yaani zile zinazofanyikia vijijini.Licha ya kuwa zilikuwa...
Master Jay afichua kinachowaponza wasanii wanaomiliki leboMtayarishaji wa muziki nchini Joachim Marunda 'Master Jay' amesema rekodi lebo nyingi za wasanii Bongo zinashindwa ku...
Rapa na mtayarishaji tokea Marekani, Kanye West anaripotiwa kuingia kwenye vita mpya na aliyekuwa mke wake mwanamitindo, Kim Kardashian kufutia rapa huyo kumshirikisha binti y...
Baada ya kuibuka kwa video zikimuonesha baba wa staa wa muziki kutokea Nigeria Asake, akidai hapati huduma kutoka kwa mwanaye. Hatimaye baba huyo amesema tayari ameanza kupati...
Licha ya kwamba kwa sasa ameishika dini vilivyo, aliyekuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya hususani singeli na filamu, Snura Mushi amewaomba watu wamuombee ili aweze kufika p...
Ikiwa leo ni Alhamisi, kwenye 'Tbt', tukumbushane chimbuko la muziki wa Bongofleva ambalo limekuwa likizua mijadala mara kwa mara.Muziki huo ulianza mwanzoni mwa miaka ya 1990...
Je, wajua kuwa video tisa za muziki Tanzania ambazo zimetazamwa zaidi ya mara milioni 100 katika mtandao wa YouTube, saba kati ya hizo zimeongozwa na Director mmoja ambaye ni ...
Mshambuliaji nyota wa Yanga, Mzambia, Kennedy Musonda hachezi mpira tu, lakini amekuwa akiwafuatilia wasanii wa muziki wa kizazi kipya nchini na kuwataja watatu kati yao kuwa ...
Ikiwa leo siku ya kwanza ya mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan staa wa muziki Harmonize ametumia mwezi huu wa toba kuwaomba msamaha watu wote aliopishana nao kwa namna moja a...
Msanii wa Afrobeat kutokea nchini Nigeria anaripotiwa kuja na biashara yake nyingine ya mavazi mwezi ujao.Kwa mujibu wa taarifa zinazo ripotiwa na vyombo vya habari nchini hum...
Mwanamitandao na mtiririshaji wa maudhui kupitia mtandao wa YouTube Ishow Speed amejikuta akiumizwa baada ya kuingia kwenye ulingo wa mieleka wa WWE Royal Rumble 2025 na kuond...
Ndivyo tunaweza kusema kufuatia Diamond Platnumz kuendelea kuwa kinara wa mambo mengi katika tasnia ya muziki hasa wa Bongofleva ambao umempatia mashabiki wengi tangu mwaka 20...