Baada ya miaka mitano kuachia album ya ‘African Giant’ na kufanya vizuri sasa album hiyo ya mkali wa #Afrobeat kutoka nchini Nigeria Burna Boy imetangazwa kufikia hadhi ya platinum nchini #Ufaransa baada ya kuuza nakala (copies) 100,000.
Na hii inakuwa album ya kwanza #Nigeria kufikia hadhi za #Platinum nchini humo
Ikumbukwe kuwa album hiyo iliachiwa rasmi mwezi Julai mwaka 2019, huku mwaka 2023 wimbo wa ‘Last Last’ uliokuwa katika album hiyo ukitangazwa kufikia hadhi ya almasi na #SNEP.

Leave a Reply