13
Meli kubwa zaidi duniani imewasili Miami
Meli kubwa zaidi Duniani inayoitwa ‘Royal Caribbean’s Icon of the Seas’ tayari imewasili jijini Miami nchini Marekani ikitokea Finland ambapo ndipo ilipoteng...
13
Davido kukiwasha Grammy
Mwanamuziki kutoka nchini #Nigeria anatarajiwa kutumbuiza katika sherehe za kuelekea Tuzo za Grammy, inayotarajiwa kufanyika Februari 2, nchini #Marekani.Huku wasanii wengine ...
13
Mambo anayotamani kuyafanya kocha Eriksson kabla hajafa
Baada ya kuweka wazi kuhusiana na kubakiza muda mchache wa kuishi ‘kocha’ wa zamani wa ‘timu’ ya Taifa ya England Sven-Goran Eriksson ameachia list ya ...
12
Mke wa Mane alivyopokelewa kwa shangwe baada ya kurudi shule
Baada ya kufunga ndoa siku ya Jumapili, Januari 7, mke wa mchezaji kutoka ‘klabu’ ya #Alnassr #SaidoMane, #AishaTamba amerudi tena katika shule...
12
Kanye ashitakiwa kwa kumshambulia shabiki
Mwanamuziki na mwanamitindo kutoka nchini Marekani Kanye West amemfunguliwa mashitaka na shabiki aitwaye Justin Poplawski (40) na kudai kuwa alishambuliwa na msanii huyo mwaka...
12
Mama Dangote hatambui penzi la Zuchu na Diamond
Mama mzazi wa mwanamuziki wa #Bongofleva nchini #Diamond, Mama Dangote ameeleza kuwa hatambui kama #Zuchu na mwanaye kama wako kwenye mahusiano.Mama Dangote ameyasema hayo wak...
12
Apple kuzindua miwani itayotumika kama kompyuta, tv
Kampuni ya Apple, imetangaza bidhaa yake mpya iitwayo ‘VisionPro’ ambayo inamuonekano wa miwani, ambayo inauwezo wa kutumika kama Kompyuta, kutazama movie, kusoma ...
12
Mfahamu John anayetengeneza viungo bandia
Mwanaume mmoja kutoka nchini Nigeria aitwaye John Amanam, amewashangaza wengi kupitia mitandao ya kijamii kutokana na ubunifu wake wa kutengeneza viungo bandia vya ngozi nyeus...
12
Burnaboy afanya kolabo na 21Savage
Mkali wa #Afrobeat kutoka nchini Nigeria #Burnaboy anaendelea kuvuka boda kwa kufanya ‘kolabo’ na wasanii mbalimbali katika mataifa makubwa, na sasa ameshirikishwa...
11
Mtoto wa kwanza kuzaliwa apewa jina la Mbappe
Mtoto wa kwanza kuzaliwa mwaka 2024 nchini Hispania amepewa jina la mchezaji wa ‘klabu’ ya #PSG, #KylianMbappe. Wazazi wa mtoto huyo wajulikanao kama Fran Barreiro...
11
Sancho atambulishwa Dortmund
Baada ya kuzuka tetesi kuhusiana na mchezaji wa Manchester United, Jadon Sancho kurudi kwenye ‘timu’ yake ya zamani kwa mkopo hatimaye ‘klabu’ hiyo ya ...
11
Safari ya AFCON yaingia doa, Wakosa hewa kwenye ndege
Wachezaji na wafanya kazi wa ‘Timu’ ya Taifa #Gambia wakosa hewa walipokuwa kwenye ndege wakielekea Ivory Coast katika mashindano ya AFCON 2023. Inaelezwa kuwa wac...
11
Mwanasoka wa zamani adai ana mwaka mmoja wa kuishi
‘Meneja’ wa zamani wa ‘timu’ ya taifa ya Uingereza, Sven-Göran Eriksson ameweka wazi kusumbuliwa na ugonjwa wa saratani huku akidai kuwa amebakiza...
11
Baba yake Mohbad adai kutishiwa maisha na mkwewe
Baba wa marehemu mwanamuziki Mohbad kutoka nchini Nigeria kupitia mahojiano yake ya hivi karibuni ameeleza kuwa aliyekuwa mke wa Mohbad, Wunmi na wakili wake wanatishia kumuua...

Latest Post