Mashabiki washangazwa na Cr7 kupaka rangi kucha za miguu

Mashabiki washangazwa na Cr7 kupaka rangi kucha za miguu

Mchezaji wa ‘klabu’ ya #AlNassr, # Cristiano Ronald amezua mijadara kupitia mitandao ya kijamii baada ya kuonekana amepaka rangi kucha za miguu, hali iliyopelekea mashabiki kushangwazwa na muonekano huo.

Kwa mujibu wa Daily Mail News imeeleza kuwa Cr7 alionekana leo katika picha ya pamoja na mtoto wake #RonaldoJr mwenye umri wa miaka 13 akiwa mzoezini na muonekano huo wa kucha zikiwa zimepakwa rangi nchini Dubai.

Hii ni mara ya kwanza kwa Ronaldo kuonekana amepaka rangi kwenye kuchwa kwani matukio kama hayo yamezoeleka kuoneka kwa ‘mastaa’ wakubwa nchini Marekani kama #Drake, #ASAPRocky na wengine wengi.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags