Baada ya miaka 3, Esma afunga ndoa tena

Baada ya miaka 3, Esma afunga ndoa tena

Usiku wa kuamkia leo mfanyabiashara na dada wa mwanamuziki Diamond, Esma Platnumz alifunga ndoa na mpenzi wake Mwanamuziki, na Meneja Jembe One, ndoa iliyofungwa katika msikiti wa Akram uliopo Mbezi Beach, jijini Dar Es Salaam.

Hii itakuwa ndoa ya tatu kwa Esma kwani alishawahi kufunga ndoa na Petit Man Wakuache mwaka 2014 ambapo walibahatika kupata mtoto wa kike aitwaye Taraji, pia mwaka 2020 alifunga ndoa nyingine ya pili na mfanyabiashara Msizwa.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags