26
Alama za vidole vya Tupac na Biggie zaingizwa sokoni
Kadi zenye alama ya vidole vya waliokuwa wasanii wa muziki wa hip-hop marehemu Tupac na Biggie walizosaini baada ya kukamatwa kwao zaingizwa sokono. Alama hizo zinauzwa na Waf...
25
Kikosi cha Yanga chaanza safari kurudi Dar
Baada ya kuchezea kichapo cha mabao 3-0 usiku wa kuamkia leo dhidi ya CR Belouizdad, katika hatua makundi ‘Ligi’ ya Mabingwa Africa, sasa kikosi cha ‘klabu&r...
25
Tyla kuja na ngoma nyingine disemba 1
Baada ya mwanamuziki kutoa Afrika Kusini #Tyla ambaye anafanya vizuri na wimbo wa ‘Water’, sasa msanii huyo anarudi tena mjini na ngoma yake mpya aliyoipa jina la ...
25
Mbosso akubali uwezo wa Kipre Junior
Mwanamuziki wa bongo fleva #Mbosso ameukubali uwezo wa mchezaji kutoka ‘Klabu’ ya Azam #KipreJunio baada ya kupiga hat-trick jana katika mcheza wao dhidi ya Mtibwa...
25
Romy Jons: Maisha yanazidi kuwa magumu
Kaka wa mwanamuziki Diamond, Romy Jons amefunguka kwa kueleza kuwa licha ya yeye kuwa na kibarua lakini bado maisha ni magumu.Romy kupitia ukurasa wake wa Instagram amewauliza...
25
Polisi achomwa kisu gerezani
Aliyekuwa polisi wa Minneapolis, #DerekChauvin, ambaye alipatikana na hatia ya kumuua #GeorgeFloyd, ameripotiwa kuchomwa kisu katika gereza la Arizona.Kwa mujibu wa vyombo vya...
25
Mashabiki wa Simba waanza kulipiza kisasi
Baada ya #Yanga kula kichapo cha mabao 3-0 dhidi #Belouizdad usiku wa kuamkia leo kwenye ‘mechi’ ya kwanza ‘Ligi’ ya Mabingwa Afrika mashabiki wa #Simb...
24
Zuchu na Lamar kwenye stage moja
Msanii #Zuchu anatarajia kutumbuiza kwenye stage moja na 'rapa' maarufu kutoka nchini #Marekani #KendrickLamar katika tamasha la Move Africa litakalo fanyika #Kigali nchini #R...
24
Jamie Foxx akanusha tuhuma zinazo mkabili
Baada ya muigizaji na mchekeshaji Jamie Foxx kutuhumiwa na mwanadada Jane Doe kwa kumnyanyasa kingono, hatimaye muigizaji huyo amekanusha shutuma hizo.Msemaji wa Jamie ameiamb...
24
Sababu, njia ya kuondoa harufu mbaya mwilini
Tatizo la harufu mbaya mwilini inayohusisha jasho, ni changamoto inayowakabili wengi na huwa kero kwa wale wanaomzunguka mtu mwenye tatizo hilo.Wengi wenye matatizo haya, huko...
24
Baa zungusha kama tulivyo, nyumbani njaa kali
#Weekend ndiyo hii wazee wa kujirusha siku yenu imefika, wengi wanatafuta pesa lakini kichwani wamejiwekea malengo ya kumwagilia moyo mwishoni mwa wiki, shida siyo kutumia pes...
24
Sababu wanaofariki wakiongeza makalio zatajwa
Wataalamu bingwa wa upasuaji wa kurekebisha maumbile nchini, wametaja sababu tatu zinazoweza kusababisha anayepatiwa huduma ya kuongeza makalio kufariki dunia.Sababu hizo zime...
24
50 cent aonesha heshima kwa shabiki aliyemchora tattoo
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #50Cent ameonesha heshima kubwa kwa shabiki aliyechora #tattoo ya sura ya msanii huyo kwenye mguu kwa kusaini jina lake kwenye tattoo...
24
Diddy afunguliwa tena mashitaka ya ubakaji
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #Diddy amefunguliwa mashitaka mengine ya ubakaji na mwanadada Joi Dickerson-Neal kwa tuhuma za kumpa dawa za kulevya na kumdhalilisha...

Latest Post