Baada ya kuzuka tetesi kupitia mitandao ya kijamii kuhusiana na mwanamuziki wa #Bongofleva #Platform kuwa kwenye mahusiano na mwanadada #Munalove, hatimaye #Platform amekanush...
Mwanamke mmoja kutoka nchini Marekani itwaye #JaneDoe amefungua kesi Mahakamani ya kumshitaki rapper T.I na mkewe #Tiny, kwa kumfanyia unyanyasaji wa kingono tukio lililotokea...
Mshitakiwa aliyetambulika kwa jina la #DeobraRedden mwenye umri wa miaka 30, amemshambulia Jaji Mary Kay Holthus wakati akisomewa hukumu yake siku ya jana Jumatano.
Video zili...
Albumu ya mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #Rema ‘Rave & Roses (ULTRA)’ imefikia hadhi ya GOLD kwenye soko la mauzo ya albumu nchini Marekani, kwa kuuza zaidi...
Business Insider Africa wametoa orodha ya mabilionea 10 zaidi Afrika mwanzoni mwa mwaka 2024, baada ya hufuatilia mabadiliko ya kila siku katika thamani ya mali za watu wenye ...
Kuku mwenye umri mkubwa zaidi ambaye alikuwa akishikiria rekodi ya dunia ya Guinness amekufa akiwa na umri wa miaka 21 na siku 238.
Kwa mujibu wa Guinness imeripoti kuwa imepo...
Wakati wa kununua nguo watu wengi hutazama ubora na rangi, wachache huchunguza kila kona ya nguo na kujua umuhimu wake.
Kama nimfuatiliaji basi utakuwa umewahi kuona kishikizo...
Moja kati ya viungo muhimu kwenye mwili wa mnyama Simba ni ulimi wake ambao anautumia kwa namna nyingi, ulimi huo humrahisishia mambo mengi ambayo humuwezesha kuendelea kuishi...
Mke wa zamani wa muigizaji kutoka nchini Marekani Forest Whitaker, Keisha Nash Whitaker, alifariki kutokana na ugonjwa wa ini baada ya kuugua kwa miaka mingi.
Kwa mujibu wa Tm...
Rapper kutoka nchini Marekani #KanyeWest ametangaza kuwa mkewe #BiancaCensori atavaa nguo chache zaidi mwaka huu, hii ni baada ya kusambaza kwa picha kadhaa za mkewe akiwa ame...
Zikiwa zimepita siku saba tangu kuzinduliwa sanamu ya mwanamuziki kutoka Colombia Shakira, shabiki wa ‘rapa’ 6ix9ine kutoka nchini Cuba naye ameamua kuonesha mapen...
Hey hey! watu wangu wa nguvu, mwaka ndiyo huo unatuaga na leo kwenye biashara tupo na jambo ambalo familia nyingi ni ngumu kulifanya mpaka pale watakapoona kitu kimevunjika au...