Master: Mnaopiga picha msibani mnajiona mko sawa

Master: Mnaopiga picha msibani mnajiona mko sawa

Mtayarishaji wa muziki nchini #MasterJ ametoa povu kwa baadhi ya watu wenye tabia ya kwenda misibani na kuanza kuchukua video na kupiga picha kwa ajili ya ku-post katika mitandao yao ya kijamii, bila kujali na kuwafariji wafiwa.

Kupitia #Instastor yake Master ameonesha kutopendezwa na kitendo hicho kwa kuandika ujumbe ukiwataka watu wahudhurie misibani kwa ajili ya kuwafariji wafiwa, kazi ya kupiga picha na ku-rekord video wawaachie waandishi wa habari wakiwa misibani.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post