03
Hawa ndiyo matajiri barani Afrika 2024
Business Insider Africa wametoa orodha ya mabilionea 10 zaidi Afrika mwanzoni mwa mwaka 2024, baada ya hufuatilia mabadiliko ya kila siku katika thamani ya mali za watu wenye ...
03
Kuku mkongwe zaidi dunia amekufa akiwa na miaka 21
Kuku mwenye umri mkubwa zaidi ambaye alikuwa akishikiria rekodi ya dunia ya Guinness amekufa akiwa na umri wa miaka 21 na siku 238. Kwa mujibu wa Guinness imeripoti kuwa imepo...
03
Unafahamu kazi ya kitanzi kilichopo nyuma ya shati
Wakati wa kununua nguo watu wengi hutazama ubora na rangi, wachache huchunguza kila kona ya nguo na kujua umuhimu wake. Kama nimfuatiliaji basi utakuwa umewahi kuona kishikizo...
03
Maajabu ya ulimi wa Simba
Moja kati ya viungo muhimu kwenye mwili wa mnyama Simba ni ulimi wake ambao anautumia kwa namna nyingi, ulimi huo humrahisishia mambo mengi ambayo humuwezesha kuendelea kuishi...
03
Figo, Ini sababu kifo cha ex wa muigizaji Forest
Mke wa zamani wa muigizaji kutoka nchini Marekani Forest Whitaker, Keisha Nash Whitaker, alifariki kutokana na ugonjwa wa ini baada ya kuugua kwa miaka mingi. Kwa mujibu wa Tm...
03
Hekaheka za Kanye kumpangia mkewe mavazi ya kuvaa
Rapper kutoka nchini Marekani #KanyeWest ametangaza kuwa mkewe #BiancaCensori atavaa nguo chache zaidi mwaka huu, hii ni baada ya kusambaza kwa picha kadhaa za mkewe akiwa ame...
03
Rapa 6ix9ine ajengewa sanamu Cuba
Zikiwa zimepita siku saba tangu kuzinduliwa sanamu ya mwanamuziki kutoka Colombia Shakira, shabiki wa ‘rapa’ 6ix9ine kutoka nchini Cuba naye ameamua kuonesha mapen...
02
Hali ya biashara za furniture mwisho wa mwaka
Hey hey! watu wangu wa nguvu, mwaka ndiyo huo unatuaga na leo kwenye biashara tupo na jambo ambalo familia nyingi ni ngumu kulifanya mpaka pale watakapoona kitu kimevunjika au...
02
Zoran anatamba Al Hilal
Aliyewahi kuwa ‘kocha’ wa ‘klabu’ ya #SimbaSC, Zoran Manojlovic ‘Maki’ ameteuliwa kuwa ‘Kocha’ Mkuu wa ‘Klabu’ ya A...
02
Huenda mbappe akakipiga timu moja na Mo Salah
Inadaiwa kuwa ‘Klabu’ ya #Liverpool huenda ikaibuka kidedea katika kuwania saini ya mchezaji kutoka ‘timu’ ya #PSG ya Ufaransa Kylian Mbappé. Kw...
02
Aliyekosa nafasi ya urais 2022 achomwa kisu
Kiongozi wa Upinzani nchini Korea Kusini amechomwa kisu katika mkutano wake na Waandishi wa Habari uliofanyika katika mji wa Busan nchini humo. Taarifa iliyotolewa na Shirika ...
02
Haya ndiyo yatakufanya utoboe kimaisha 2024
 Najua wiki hii siyo ya kuongelea kazi lakini sina budi kuwajuza jambo hili dogo kabisa ambalo halitawachosha kabisa,  leo katika kazi tutazungumzia suala la malengo...
02
Mastaa waliotumia mitandao ya kijamii 2023 kujipatia maokoto
Achana na wale wa ‘kufeki’ mambo wanaotumia pesa nyingi kwa ajili ya kununua ‘maroboti’ kwenye mitandao ya kuuzia  muziki ili kazi zao zionekane z...
02
Watu 48 wafariki kwa tetemeko la ardhi
Tetemeko la ardhi nchini Japani limesababisha vifo vya watu taribani 48 na kufanya uharibifu katika sehehemu mbalimbali nchini humo. Inaelezwa kuwa tetemeko hilo lilianza siku...

Latest Post