Nini kinaendelea kati ya harmonize, Poshy

Nini kinaendelea kati ya harmonize, Poshy

Baada ya msanii Harmonize na mpenzi wake Poshy Queen kuonekana wakipata dinner pamoja usiku wa kuamkia leo katika siku ya Wapendanao, wawili hao wamezua sintofahamu kupitia kurasa zao za Instagram baada ya kila mmoja kufuta picha walizokuwa wamepostiana.

Si hayo tuu pia wawili hao kila mmoja amefuta urafiki (unfollow) na mwenzake kwenye mtandao huo.

.

.
.
#MwananchiScooo
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags