Utafiti: Asilimia 42 ya wanandoa hufichana mali wanazomiliki

Utafiti: Asilimia 42 ya wanandoa hufichana mali wanazomiliki

Kutokana na utafiti uliofanywa na Taasisi inayojihusisha na masuala ya fedha Bankrate, iliyopo nchini Marekani imebaini kuwa asilimia 42 ya wanandoa huwaficha wenzi wao mali wanazomiliki

Utafiti huo umebaini kuwa baadhi ya wanandoa huficha mali au pesa wanazomiliki kutokana na kuhofia kugawana fedha hizo wakati wa talaka.

Aidha utafiti huo umeweka wazi siri ambazo wanandoa huwaficha wenza wao zikiwemo matumizi ya pesa , madeni, akaunti za siri na kadi za mikopo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags