Baada ya Usher nani kukiwasha super bowl 2025

Baada ya Usher nani kukiwasha super bowl 2025

Baada ya mwanamuziki #Usher kukiwasha katika fainali za ‘Super Bowl’ zilizofanyika katika uwanja wa Allegiant, Nevada na sasa imeripotiwa kuwa mwaka 2025 fainali hizo zitafanyika mjini New Orleans nchini Marekani.

Kama kawaida ni lazima ‘staa’ yoyote mkubwa kutoka eneo linapofanyikia fainali hizo afanye show, na hawa ndiyo ‘mastaa’ wanaoishi mjini New Orleans, ambao ni Lil Wayne, Kevin Gates, Mastwe P, Boosie, B.G, Fredo Bang.

Unadhani nani atakiwasha ‘Super Bowl’ 2025?
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags