Bayern yashindwa kumnyakuwa kiungo wa Chelsea

Bayern yashindwa kumnyakuwa kiungo wa Chelsea

‘Klabu’ ya #BayernMunich inadaiwa kuwa imeshindwa kumchukua mchezaji wa ‘klabu’ ya #Chelsea #MykhailoMudryk baada ya ‘timu’ hiyo kukataa ofa ya #Munich.

Kwa mujibu wa The Sun News inaelezwa kuwa #Munich ilikuwa katika hatua za mwisho za kumnunua mchezaji huyo lakini mwezi uliyopita #Chelsea ilikataa ofa hiyo, huku sababu za ombi hilo kukataliwa bado hazijajulikana.

Mchezaji huyo kutoka nchini Ukraine, mwenye umri wa miaka 23, alijiunga na #Chelsea Januari 2023, kwa mkataba wa pauni 97 milioni akitokea ‘timu’ ya #ShakhtarDonetsk.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post