Davido akitumbuiza kwenye birthday ya Depay

Davido akitumbuiza kwenye birthday ya Depay

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Davido, alikuwa mmoja wa wasanii ambao walihudhuria katika sherehe ya siku ya kuzaliwa ya mchezaji wa ‘timu’ ya Taifa ya Uholanzi na ‘klabu’ ya Atlético Madrid, Memphis Depay, siku ya jana Jumanne iliyofanyika nchini Spain.

Licha ya kuhudhuria katika sherehe hiyo Davido pia alipata nafasi ya kutumbuiza wimbo wake wa ‘Unavailable’, katika sherehe hiyo.

Hata hivyo Depay naye alirudisha shukrani kwa msanii huyo kwa kumkabidhi saa aina ya ‘Rolexes’ kama zawadi ya kukubali mualiko wa kujumuika naye katika Birthday dinner yake ambapo alikuwa akitimiza miaka 30.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags